Thursday, August 28, 2008

Ziara ya JK Marekani

JK na ujumbe wake wakiwa Centre for Global Development held huko Washington katika mazungumzo na wenyeji wao juu ya njia bora za kupambana na malaria

JK akisalimiana na rais wa International Conservation Caucus Foundation(ICCF) David Barron katika jengo la Rayburn building huko Washingto DC. Katika mkutano huo Mh. Baron alielezea mipango ya kujenga chuo cha uhifadhi huko A-taun. JK yuko marekani katika ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Rais George Bush.

JK akiperuzi kitabu "The White House and the World,A Global Development Agenda" huko Wshington baada ya mkutano wa namna ya kupambana na malaria.
Picha zote na Freddy Maro wa Ikulu


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP