Friday, September 26, 2008

Futari ya zain Mwanza yanoga

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dk. James Nsekela (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Samwel Kamote wakipakua futari wakati wa hafla ya kufuturu iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania kwa waandishi wa habari jijini MwanzaWanahabari toka Startv, Husna Mlanzi na Fatma Shemweta walikuwa ni moja ya wanahabari walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mikononi ya Zain maalum kwa ajili ya wanahabari wa Jiji la Mwanza, lakini mmefunga jamani?
Mwanahabari toka Radio Free Africa, Zuberi Msabaha nae alikwepo katika futari ya zain, lakini kaka umefunga?0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP