Friday, September 26, 2008

Zain yatoa zawadi Mwanza

Meneja Mauzo wa Zain Kanda yaZiwa, Ally Maswanya (kulia) akikabidhi msaada wa mbuzi na bidhaa nyinginezo vikiwamo vyakula kwa Mkuu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Islamic Yatima Foundation cha Wilaya ya Ilemela, Hamza Bakari jijiniMwanza juzi. Katikati ni Mkuu wa Shule ya Sekondari yaIlemela Islamic Seminary, Siraji Ahmed

Meneja wa Huduma za Jamii wa ZainTanzania, Tunu Kavishe (katikati) akikabidhi boksi lasabuni kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dk. James Nsekela(kushoto) na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, SalumFerej waliopokea kwa niaba ya kituo cha kulelea watotoyatima cha Islamic Yatima Foundation cha Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza

1 comments:

Anastácio Soberbo September 26, 2008 at 5:43 PM  

Hello, I like this blog.
Sorry not write more, but my English is not good.
A hug from Portugal

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP