Thursday, September 18, 2008

Hebu tazama maajabu ya mtu huyu, haya mnaopenda kuiga kazi kwenu!!


Mchina alianza kwa kuchaka kama anavyonekana kabla ya kuibugia pua yake.Pili akaisogeza karibu na mdomo wake, akaiweka sawasawa Akaisogeza karibu zaidi na mdomo wake

Akaona haitoshi, akasukuma kidevu chake kwa mikono yake ili apate kuibugia vizuriHapa ndiyo mwisho kishaibugia pua yake, haya wale wanaojifanya kuiga kila kitu kazi kwenu.
Shukrani kwa Mzee Sumo http://www.mpoki.blogspot.com/

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP