Mshindi droo ya pili Barclays apatikana
Mteja wa Benki ya Barclays Tawi la Kisutu Stewart Manyanga (wa pili kushoto) akionesha karatasi aliyochagua ya wakati wa kuchezesha droo ya pili ya promosheni za “Maissha Bomba na wajasiriamali” ambayo inaendeshwa na Benki hiyo iliyochezeshwa jana Jijini Dar eS salaam. Kulia ni Meneja wa tawi hilo , Lizzelotte Manyanga na kushoto ni Afisa wa michezo ya Kubahatisha, Mrisho Milao
0 comments:
Post a Comment