JK akizungumza na waandishi wa habari wa tanzania aliofuatana nao kwenye msafara katika hoteli ya intercontinental jijini new york mwisho wa wiki
JK akizungumza na rais wa kituo cha maendeleo duniani,center for global development,dr.nancy birdsall huko washington mwisho wa wiki
JK akiongea na bwana george haily wa marekani huko washington dc,bwana haily ni kiongozi wa taasisi ya vyuo vya tekinologia barani afrika iliyopewa jina la nelson mandela
0 comments:
Post a Comment