Athumani apelekwa nje kwa matibabu
Mhariri wa Picha wa Magazeti ya HabariLeo na HabariLeo Jumapili, Athumani Hamisi akipandishwa katika gari la wagojwa tayari kwa safarai ya uwanja wa ndege ambako alikuwa akisafirishwa kwenda nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi kufuatia ajali ya gari aliyoipata mamema mwezi huu Wilayani Kilwa. Athumani aliumia zaidi kifua na shingo alisafirishwa jana kwa ndege ya ATCL. (Picha kwa Hisani ya Mroki wa Habarileo)
0 comments:
Post a Comment