JK atoa shavu kwa Wachina kutujengea uwanja mpya
JK akiwa katika mazungumzo na Bwana He Yong Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China, mazungumzo hayo yalifanyika katioka uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro juzi. Katika mazungumzo hayo Rais Kikwete aliipongeza Serikali ya China kwa mashirikiano mazuri hasa kwa kutujengea uwanja wa michezo wa kisasa (Picha kwa hisani ya Ikulu)
0 comments:
Post a Comment