Thursday, September 18, 2008

Mbwa mwitu wa Mbagala watiwa hatiani

MBWA MWITU HAWA HAPA: Kikundi cha vijana, maarufu kwa jina la "Mbwa Mwitu" wakiwa chini ya ulinzi katika Kituo cha Polisi Kati, Dar es Salaam baada ya kukamatwa jana. Vijana hawa wanatuhumiwa kufanya vitendo vya uhalifu katika maeneo ya Mto Kizinga na Mbagala wilayani Temeke.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP