Thursday, October 23, 2008

Balozi aendeleza ujumbe wake mkoani Mbeya

Balozi wa Baba Mtakatifu Benedict wa XVI nchini Tanzania,Mhashamu Askofu Mkuu,Joseph Chennoth wakiwa katika picha ya pamoja

Balozi wa Baba Mtakatifu Benedict wa XVI nchini Tanzania,Mhashamu Askofu Mkuu,Joseph Chennoth akiteta na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Mbeya,Mohamed Mwansasu katikati ni Mhashamu Askofu wa kanisa Katoliki Jimbo la Mbeya,Evaristo Chengula,wakati wa hafla fupi ya Viongozi mbalimbali wa dini na vyama vya siasa walipokutana katika ukumbi wa mikutano wa Parish,jimboni Mbeya juzi(Picha na Thompson Mpanji).


Balozi wa Vatican nchini Tanzania,Mhashamu Askofu Mkuu,Joseph Chennoth,akitia saini katika kitabu Ikulu ndogo ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Bw.John Mwakipesile (hayupo pichani) aliyesimama ni mwenyeji wake Askofu Evaristo Chengula wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbeya.


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP