Monday, October 27, 2008

Kushinda raha jamani!!!!!!!!!!!!

Mshambuliaji wa Yanga Ben Mwalala akiwa ndani ya nyavu baada ya kufunga goli huku mshambuliaji mwenzake Raia wa Kenya Boniface Ambani akikimbia kushangilia goli hilo, katika mechi hiyo ya watani wa jadi yanga walishinda kwa 1-0.

Hii ndiyo first Eleven iliyopeleka maafa Simba

Mashabiki wakiwa wamepagawa kutokana na ushindi


Wachezaji waYanga wakishangili kwa furaha mara baada ya kumalizika kwa mechi0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP