Kama mbio za mwenge, kumbe ushindi wa Chadema

Chadema haina watoto wala wazee, kuendelea kuongoza Tarime

Mwera akitangazwa kuwa mshindi!

Hakuna kina mama wala nini, maandamano tu!!

Mwera juu kwa juu!!!!

Hapa hakuna polisi wala nini, sie tunashangilia tu!!!
0 comments:
Post a Comment