Wednesday, October 15, 2008

JK azima mwenge Tanga

Kijana Safari Antony kutoka Geita Mwanza akimweleza Rais Jakaya Mrisho Kikwete matumizi ya mashine ya kukobolea mahindi aliyoitengeneza na kuileta kwa maonesho katika viwanja vya Tangamano,mjini Tanga katika kilele cha sherehe za Mwenge wa uhuru zilizofanyika kitaifa mkoani Tanga, Picha zote na Freddy Maro

Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Bwana Shanes Martin Nungu akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa michezo wa Mkwakwani Tanga leo wakati wa kilele cha sherehe za kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP