Wednesday, October 8, 2008

Happybirthday JK

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlisha keki mtoto Mohamed wakati wa hafla fupi ya kusherekea miaka 58 ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na wafanyakazi wa ikulu ya Dar es Salaam. Mtoto Mohamed ni yatima ambaye Rais Kikwete na Mkewe Mama Salma wanamlea katika familia yao.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na mfanyakazi wa ikulu Bwana Adam Tego wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam


Katibu mkuu ikulu Bwana Michael Mwanda akimpa kadi ya Birthday Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa niaba ya ya wafanayakazi wa ikulu wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Kikwete kwa kutimiza miaka 58

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP