Prodyuza nguli wa muziki hapa bongo aliyetambulika kwa jina la Roy Bukuku amefariki jana huko Mkoani Mbeya alikozaliwa,kwa taarifa zaidi tuendee za msiba huo na mengine tutakuletea
Roy mpaka anafariki alikuwa prodyuza wa studio za G 2 Records ,na alikuwa na uwezo mkubwa wa kupiga kinanda.
Back to TOP
0 comments:
Post a Comment