Tuesday, October 7, 2008

Rais wa Madagasca awasili nchini

Makamau wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Madagaska Bw. Marcravalomanana, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kiserikali.

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake Rais wa Visiwa vya Madagascar Marc Ravalomanana muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jumatatu kwa ziara ya kiserikali.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP