Tuesday, October 7, 2008

Wapiga kura wayakosa majina yao tarime

Pichani ni baadhi ya wapiga kura wakitazama majina yao katika vituo vya kupigia kura katika jimbo la Tarime baada ya kubandikwa

Mkuu wa kikosi maalum cha operation, Venance Toss akiwa pamoja namkuu wa kikosi cha kuzuwia fujo(FFU) Anavlet Trasphery wakiwa wanawapokea mabalozi,Janet Siddall wa Canada,Philip Parham wa Uingereza na Staffan Herrtrom wa Sweeden ambao walifika jana Tarime kujionea hali ya kampeni hasa kutokana na kupata taarifaza vurugu na ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP