Saturday, October 11, 2008

JK ziarani Mbeya

Jk akikata utepe kuzindua rasmi SACCOS ya Kata ya Lufingo,wilayani Rungwe jana.Pembeni ya Rais ni Mwenyekiti wa SACCOS hiyo Elly Sanya. Picha zote na Freddy Maro wa Ikulu.

Mzee Ambakisye Yoram akimvika mgolole wa Heshima JK muda mfupi kabla ya Rais kuwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Rungwe jana.Rais Kikwete yupo katika ziara ya siku kumi mkoani Mbeya

JK akiwasalimia maelfu ya wakazi wa mji wa Mbeya waloijitokeza kumlaki kwa shangwe wakati wa mwanzo ya ziara yake ya kikazi Mkoani humo


JK na Mama Salma Kikwete wakipokea maua kutoka kwa wanafunzi ya shule ya msingi Lufingo wilayani Rungwe,Baraka Michael na Ashura Ephraim, muda mfupi kabla ya kuzindua SACCOS ya Lufingo wilayani Rungwe.JK na Mama Salma Kikwete wakimjulia hali mtoto aliyejiatambulisha kwa jina la Lulu Patti muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mbeya tayari kwa kuanza ziara ya siku kumi mkoani humo mabapo atazindua na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo
JK akiwahutubia wananchi wa Mwakaleli muda mfupi baada ya kuzindua ujenzi wa kiwanda cha Chai huko Mwakaleli wilayani Rungwe leo mchana.
0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP