Friday, October 10, 2008

zaandaliwa siku 20 za films za bure

msanii mrisho mpoto akipigia chapuo tamasha hilo, akiwa ni mmoja wa wasanii walionufaika na jumuiya ya ulaya baada ya filamu yake ya karibuni kulamba bingo


balozi wa ufaransa nchini, mh. jacques champagne de labriolle akiongelea kuanza kwa tamasha la filamu la ulaya kwa mwaka huu alipoongea na waandishi jijini dar leo. kulia kwake ni mkurugenzi wa alliance francaise ya dar didier martin na shoto ni mjumbe wa kamati ya tamasha hilo rita bowen toka ubalozi wa ireland. kwa ratiba ya maonesho hayo ambayo hayana kiingilio na yatafanyika kila siku kwa siku 20 katika jumba la new world cinema kule mwenge, picha kwa hisani ya michuzi blog

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP