Friday, October 10, 2008

Mambo bado mazito Tarime

MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Tarime, Ryoba Kangoye (kulia) akiwa na mgombea udiwani wa Tarime mjini (CCM), Peter Zakaria kwenye helikopta iliyotua jana kwenye uwanja wa Sabasaba mjini Tarime, tayari kutumika kutoa huduma katika shughuli za kampeni za CCM zinazoendelea jimboni humo

Vijana wa CHADEMA wakiwa wamebeba mabango yanayoelekea kumlalamikia Kamanda wa Kikosi Maalum Venance Tossi kutokana na kusambaratishwa jumatatu usiku baada ya kutuhumiwa kufanya maandamano bila ya kibali

Wagombea wa CHADEMA wakiwa na Mwenyekiti wao Mh. Mbowe katika kampeni


Vijana wakiwa katika maandamano yao katika kupinga kamanda Tosi0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP