Tuesday, October 21, 2008

Mbeya wapokea baraka za papa Benedict wa XVI

Mhashamu Askofu wa jimbo la Mbeya,Evaristo Chengula (aliyevaa kanzu nyeupe) wakiwa katika maeneo ya Chimala,wilaya ya Mbarali ambapo ni mpakani mwa Jimbo la Mbeya na Iringa akibadilishana mawazo na Padre wake Innocent Sanga muda mfupi kabla ya kuwasili Balozi wa papa Benedict wa XVI nchini Tanzania,Apostolic Nuncio,Joseph Chennoth katika ziara yake jimboni Mbeya

Balozi wa Baba mtakatifu Benedict wa XVI nchini Tanzania,Apostolic Nuncio,Joseph Chennoth (aliyevaa suti nyeusi)akitoa baraka ya Papa kwa wakazi wanaoishi mkoani Mbeya muda mfupi baada ya kuwasili mpakani mwa jimbo la Iringa na Mbeya katika ziara yake ya siku tano jimboni Mbeya kulia kwake ni Padre Mwankemwa na Padre Sililo Mwalyoyo (Picha zote Na Thompson Mpanji)

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP