Tuesday, October 21, 2008

Rais wa Botswana ziarani Tanzania

JK akimakaribisha Rais Seretse Khama Ian Khama wa Botswana mara tu alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi ya siku mbili hapo jana

JK akiwatambulisha baadhi ya mawaziri wake kwa mgeni wake Rais Seretse Khama Ian Khama muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro jana

Mtoto Sara Elias akimkaribisha kwa maua Rais Seretse Khama Ian Khama muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi ya siku mbili hapo jana(Picha zote kwa hisani ya Freddy Maro wa Ikulu)


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP