Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mh. Sophia Simba (katikati) na Mkurugenzi wa Mfuko wa Saratani ya Matiti, Angela Kuzilwa (shoto) wakati wa maandamano kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya waliothirika na saratani ya matiti Tanzania, Dar es Salaam
Back to TOP
0 comments:
Post a Comment