Wamasai wawachinja wakulima Kilosa
Gari la Polisi likiwa limebena miili ya wanaume wawili waliouwawa na wafugaji wa jamii ya wamasai kwa kukatwa vichwa kwa kutumia sime baada ya kuikuta katika vichaka. Wafugaji na wakulima kwa mara nyingine tena wilayani Kilosa wamepigabna na kusababisha vifo vya watu sita wakazi wa kitongoji cha Kikenge..
0 comments:
Post a Comment