Dr. Burian ahudhuria mkutano Korea
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dk. Batilda S. Burian akiteta jambo na mtaalam mwelekezi - Masuala ya Ardhi Oevu kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii Bw. John D. Balarin katika mkutano wa Ramsar juu ya hifadhi ya Ardhi oevu unaondelea Mjini Changwon, Korea. Picha na Lulu Mussa wa OMR
0 comments:
Post a Comment