Monday, November 3, 2008

Malkia Margrethe II wa Denmark na mumewe Prince Henrik watua Tanzania

JK na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Malkia Margrethe II wa Denmark na mumewe Prince Henrik pmaoja na watoto wa Rais Rashid kikwete Chodo (kushoto) na Khallfan Kikwete( kulia) muda mfupi baada ya kuwasili ikulu jijini Dar es Salaam juzi jioni kwa ziara ya siku nne nchini Tanzania

JK na Mama Salma Kikwete wakiwatambulisha watoto wao Rashid Kikwete Chodo(anayempa mkono Malkia) na Khalfan Kikwete muda mfupi Baada ya Malkia huyo Margerthe II wa Denmark na mumewe Prince Henrik kuwasili ikulu jijini Dar es Salaam juzi jioni

JK na Mama Salma Kikwete wakimkaribisha Malkia Margerthe II wa Denmark wakati alipowasili ikulu jijini Dar juzi jioni


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP