Monday, November 3, 2008

Mzozo wa Kongo wawakutanisha Mawaziri wa Mambo ya nje wa Ufaransa na Uingereza na JK

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati alipokutana na mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza Bwana David Miliband(kushoto) and Waziri wa Mambo ya nje wa Ufaransa Bwana Bernard Kouchner ikulu jijini Dar es Salaam kujadili hali ya vita nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo na juhudi za kimataifa kutatua mzozo huo

JK akijadili jambo na Mawaziri wa Mambo ya nje wa Uingereza David Miliband(kushoto) na Bernard Kouchner(katikati) wakati mawaziri hao walipomtembelea Rais Kikwete ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi na kujadili hali ya mapigano Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo(DRC).

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP