Kwa elimu hii tutafika kweli????????

Jamaa kachapwa mpaka kaacha yebo yebo zake, hahahahah!!!!!!

Unaweza ukafikiria uko Kongo, kumbe ni UDSM

Haya ndiyo matunda ya kuchaguliwa rais wa Daruso

Migomo hii mpaka lini, hapa hakuna cha shungi wala kanzu ni kugoma tu
0 comments:
Post a Comment