Friday, November 7, 2008

Mafisadi waendelea kuanikwa mahakamani

Hii ndiyo michuma ya mafisadi ikiwa mahamaniMahakama haina menyewe bana, hata mimi napeleka!!!!!!!


Falijala Hussein (kushoto) na Rajab Maranda ambao ni watuhumiwa wapya wa ufisadi wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam alhamisi ambako walifikishwa kwa mara ya kwanza.Magari ya kifahari kama haya kumbe ni mafisadi??????????
Vijogoo wa Epa

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP