RAIS KARUME AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BANDARI YA MALINDI
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE DK AMANI ABEID KARUME AKIPATA MAELEZO YA UJENZI WA BANDARI YA MALINDI UNGUJA KUTOKA KWA MKANDARASI WA KAMPUNI YA CARL BRO YA DENMARK MR OLE ALENKER ALIPOFIKA BANDARINI HAPO KUONA MENDELEO YA UJENZI HUO.
MAFUNDI WA KAMPUNI YA CARL BRO YA DENMARK WAKIWA KATIKA KAZI YA UJENZI WA BANDARI YA MALINDI YA MALINDI YA UNGUJA WAKIENDELEA NA KAZI ZA UWEKAJI WA TAIZI ILI KUWEZESHA SHUHULI ZA MAENDELEO YA BANDARI HIYO. PICHA KWA HISANI YA RAMADHAN OTHMAN IKULU/ZANZIBAR.

0 comments:
Post a Comment