JK ateta na Morgan Ikulu
JK katika mazungumzo na kiongozi wa Chama cha upinzania nchini Zimbwabwe MDC Bwana Morgan Tsvangirai ikulu jijini Dar asubuhi, na chini akimsindikiza baada ya mazungumzo yao. Mambo yakienda mswano Tsvangirai atashika nafasi ya Waziri mkuu wa Zimbabwe wakati serikali ya shirikisho itakapoundwa. Picha kwa hisani ya Ikulu
0 comments:
Post a Comment