Thursday, November 6, 2008

Malkia amtembelea Karume Zenji

MALKIA MARGRETHE WA NCHINI DENMARK AKIKAGUA GWARIDE RASMI LA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) WAKATI WA MAPOKEZI ALIPOWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ZANZIBAR AKIWA KATIKA ZIARA YA SIKU MOJA.

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE DK AMANI ABEID KARUME AKISALIMIANA NA MGENI WAKE MALKIA WA DENMARK MARGRETHE ALIPOWASILI KATIKA UWANJA A NDEGE WA KIMATAIFA WA ZANZIBAR JUZI

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE DK AMANI ABEID KARUME AKIZUNGUMZA NA MGENI WAKE MALKIA WA DENMARK MARGRETHE HUKO IKULU MJINI UNGUJA JUZI
PICHA KWA HISANI YA RAMADHAN OTHMAN IKULU/ZANZIBAR

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP