Wednesday, November 19, 2008

Tigo yachangia milioni sita mpira wa kikapu Zanzibar

Kulia ni Mama Shadia Karume akipokea Mfano wa hundi ya shilingi Milioni Sita kutoka kwa Ofisa Masoko wa Tigo Vida Lulu ikiwa ni msaada wa kampuni ya simu za mkononi Tigo kwa Zanzibar Youth Education, Enviromental and Development Support Association. (ZAYEDESA) chama kinachoendesha mashindano ya kombe la Karume ya mpira wa kikapu Zanzibar yaliyosajiliwa na chama cha mpira wa kikapu Zanzibar (BAZA) kumuenzi hayati Abeid Karume katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika ofisini kwake jana. Mashindano hayo yanaendelea kufanyika huko Zanzibar

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP