Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi katika ikulu ya Tripoli jana jioni.Rais Kikwete alifanya ziara ya kikazi ya siku moja nchini Libya.(picha na Fredddy Maro)
Back to TOP
0 comments:
Post a Comment