Tuesday, November 18, 2008

zain yadhamini mashindano ya wanamitindo wa ist afrika

Ofisa Uhusiano wa Zain Tanzania, Celine Njuju akikabidhi khanga za Zain kwa wanamitindo kutoka nchi za Afrika Mashariki walipotembelea ofisi za Zain, jijini Dar es Salaam leo. Wanamitindo hao wanaodhaminiwa na Zain watachuana katika shindano litakalofanyika Novemba 29, mwaka huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee

Meneja Masoko (wateja) wa Zain, Kelvin Twissa akitoa maelekezo kwa wanamitindo kutoka nchi za Afrika Mashariki walipotembelea ofisi za Zain, jijini Dar es Salaam leo. Wanamitindo hao wanaodhaminiwa na Zain watachuana katika shindano litakalofanyika Novemba 29, mwaka huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.

Meneja Masoko wa Zain Tanzania, Costantine Magavilla (kulia) akitambulishwa kwa wanamitindo kutoka nchi za Afrika Mashariki walipotembelea ofisi za Zain, jijini Dar es Salaam leo. Wanamitindo hao wanaodhaminiwa na Zain watachuana katika shindano litakalofanyika Novemba 29, mwaka huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP