waziri wa mambo ya ndani mh. lawrence masha (kulia) akiongozana na miss tz 2008 nasreem karim na mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji mh emmanuel ole naiko baada ya kumkabidhi bendera ya taifa tayari kwenda kutuwakilisha kwenye fainali za miss world baadaye mwezi huu
Back to TOP
0 comments:
Post a Comment