Friday, November 14, 2008

T-Mac yechezesha Droo ya sikia kengele

Mshindi wa Droo ya nne ya sikia Kengele, Bwana Masoud Omary katikati akiwatazama Meneja wa SELCOM, Juma Mgori kulia na Mtaalam wa teknolojia na mawasiliano wa T MARC, Geofrey Millinga wanavyochezesha Bahati Nasibu hiyo.

Mtaalam wa teknolojia na mawasiliano wa T MARC, Bwana Geofrey Millinga (kushoto) akimkabidhi zawadi ya simu ya mkononi Bw. Christopher Lukas, baada ya kujishindia Bahati Nasibu ya sikia kengele

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP