Dj Beka Italia
DJ BEKA akifanya vitu vyake ndani ya African Bash mjini Rome ,iliyofanyika tarehe 26/12/2008 ambayo ilifana sana.Wadau wanatoa pongezi kwa matayarisho mazuri na muziki wa kizazi kipya uliopagawisha ndani Rome mpaka kusheee...!! Kwa picha zaidi tembelea: http://www.tnzncommunity.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment