Wednesday, December 17, 2008

Mbilia Bell atua bongo tayari kwa onyesho

Mwanamuziki nguli kutoka Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, Mbilia Bell akiongea na wanahabari mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Julius Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam Jumanne usiku, tayari kwa onesho sherehe ya mwisho wa mwaka ya Club E iliyopo chini ya sigara ya Embassy litakalofanyika New World Cinema, Jumamosi Desemba 20.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP