zain yamwaga zawadi kwa yatima mtwara
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya Zain mkoani Mtwara wakiwa na baadhi ya watoto wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Raha Leo EAG mjini Masasi, Mtwara mwishoni mwa wiki
Mratibu wa Maendeleo ya Biashara wa Zain Wilaya ya Masasi, Richard Kisse (mwenye fulana ya kijani) akikabidhi zawadi kwa Suzan wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Raha Leo EAG mjini Masasi, Mtwara mwishoni mwa wiki. Zain ilitoa bidhaa mbalimbali kwa yatima hao kwa ajili ya kuwapa fursa ya kusherehekea vyema msimu huu sikukuu
0 comments:
Post a Comment