Mpigapicha wa Kituo cha Televisheni cha Channel 10/DTV Herry Makange(pichani) amefariki katika ajali ya pikipiki iliyotokea Desemba 17 2008 mchana eneo la Tegeta Dar es Salaam akitokea nyumbani kwake kwenda kazini. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Amen!!
0 comments:
Post a Comment