Wednesday, December 31, 2008

Waandishi waombewa Idara ya habari Maelezo

Mtume Apostle Matambo akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo akisema ametumwa na mungu kuja kuwaambia Watanzania watubu dhambi zao na kumrudia mungu ili wasamehewe, akinukuu baadhi ya vifungu katika Biblia takatifu amesema Mungu anatuagiza watu wote tutubu (mdo. 17:30)bila kuangalia dini wala dhehebu la watu (Yona.3:4-10) mfalme ilibidi atangaze toba kwa nchi nzima(lk.13:3 tusipotubu tutaangamia (mdo.3:19)mungu anasema nirudieni mimi (Yoel.2:12-13) mwisho mungu atatusamehe dhambi zetu zote (Isaya.55:7). akamalizia mtume huyo, kulia ni afisa habari wa Iadara ya habari maelezo Bw.Tiganya

Waandishi wakila ibada ndani ya Habari Maelezo

Ukiwaona kama vile kweli wamekolea
Picha zote kwa hisani ya http://fullshangwe.blogspot.com/


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP