huduma ya Tigo Longer masaa 24 shs 1 kwa sekunde yazidi kunogesha wateja wake
Mmoja wa wasanii mahiri wa kikundi cha promosheni cha Tigoakionyesha umahiri wake wa kuvaa kofia tatu kwa kipindi kifupikatiika onyesho la kuhamasisha promosheni mpya inayoendelea ya TigoLonger masaaa 24 Shilingi moja kwa sekunde na huduma nyinginezo kwenye kituo cha daladala cha Ubungo, Dar es Salaam juzi.
0 comments:
Post a Comment