Wednesday, December 31, 2008

wanahabari mahiri wakiwa nchini india kwa matibabu

MKURUGENZI Mtendaji wa gazeti la MwanaHALISI(ambalo liko kifungoni kwa sasa),Saed Kubenea mwenye miwani,akimjulia hali mwanahabari mpiganaji Pascal Mayala hivi karibuni akipata matibu yaliotokana na ajali ya pikipiki aliyoipata miezi mitatu iliyopita ambapo alijeruhiwa vibaya mguu wa kushoto,mkono wa kushoto na bega la kushoto.

Kwa upande wake,Kubenea yupo nchini India kwa takribani mwezi mmoja sasa,akipata matibabu ya macho yaliotokana na kuvamiwa na kumwagiwa tindikali,ofisini kwake Januari 05 mwaka huu jijini Dar es Salaam.Picha na Mpiga Picha Maalum

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP