Thursday, January 22, 2009

Hizi ajali hadi lini? Nani alaumiwe?

Mwanajeshi mmoja ambaye hakujulikana ni wa kikosi gari akiwa anasambaza watu waliokuwa wamefurika katika eneo la ajali na hivyo kuzuwia uokowaji, na awali polisi walikuwa wakipata taabu kufukuza watu hao.

Gari aina ya Scania likijitahidi kulivuta basi dogo la abiria mara baada ya ajali hiyo ili kuendelea na ukowaji watu jana jioni

Kaimu Kamanda wa polisi mkoani Arusha, Rober Boaz akiwa na mkuu wa wilaya ya Arumeru katika eneo la ajali hiyo janaMaiti zikiwa zimelazwa chini baada ya kutolewa katika gari iliyopata ajaliRoli la kampuni ya Bonite ambalo ndilo linasadikiwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ambayo imesababisha vifo vya watu wapatao 16 katika Daraja la Mto Nduruma katika barabara kuu ya Arusha-Moshi

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Robert Boaz akikagua basi la abiria aina Toyota Coaster lenye namba T799 AWR baada ya ajali iliyosababisha vifo vya watu 16 kwenye daraja la Mto Nduruma katika barabara kuu ya Arusha-Moshi jana.


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP