Monday, January 5, 2009

Huu ni ubunifu au uwendawazimu?

Mwanamuziki na mwigizaji maarufu kama Babu Ayub hapa ameamua kuweka pombe katika chupa zinazotumika kunyonyeshea watoto wadogo, sasa huu ni ubunifu au wendawazimu?

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP