Friday, January 2, 2009

Sendeu akabidhi bendera waogeleaji

Mkuu wa msafara wa timu ya kuogelea ya Tanzania Luis Sendeu(wapili kulia) akimkabidhi Bendera ya Taifa Nahodha wa timu ya wakazi ya Tanzania Samson Makere,Timu hiyo inayotarajiwa kuondoka Januari 5 kwenda nchini Afrika ya kusini kushiki mashindano ya kanda ya 4 Afrika,nchi 15 zitashiriki mashindano hayo,baada ya kukabidhiwa na Afisa wa baraza la michezo Tanzania (BMT)Mohamed Kiganja wa pili kutoka kushoto,anayefuata ni Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude,kulia ni Katibu wa chama cha kuogelea Noel Kiunsi.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP