JK akizungumza na Rais wa chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini wakati viongozi hao walipokutana jana katika Hoteli ya Sandton Sun, mjini Johannesburg, Afrika Kusini ambako JK alikuwa amefikia alipohudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC kuhusu Zimbabwe. Picha na Juma Kengele wa Ikulu
Back to TOP
0 comments:
Post a Comment