Wednesday, January 28, 2009

JK amtembelea mpiganaji athumani hamisi sauzi

JK akimjulia hali mpiga picha wa magazeti ya Serikali ya Daily News na HabariLeo, Mpiganaji Athuman Hamisi Msengi, wakati alipomtembelea kwenye Hospitali ya Milpark ya mjini Johannesburg, Afrika Kusini jana baada ya kikao cha wakuu wa nchi za SADC. Mpiganaji Hamisi amelazwa baada ya kupata ajali ya gari huko Kibiti, Mkoa wa Pwani, takriban miezi mitatu iliyopita na kupata majeraha kwenye shingo na uti wa mgongo. Hali yake inaendelea vizuri japo maungo bado hayafanyi kazi sawasawa. Picha na Juma Kengele wa Ikulu

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP