Mama Salma Kikwete katika picha ya pamoja na wageni wake
Mama Salma Kikwete akigonganisha na baadaye kuinua glasi na Mama Celina Juma Mpango mke wa balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini ambaye ni kiongozi wa wake wa mabalozi wa nchi za nje walioko hapa nchini wakitakiana heri ya mwaka mpya wakati wa sherehe iliyofanyika Ikulu, Dar
0 comments:
Post a Comment